Joeli JF-Expert Member Joined Apr 25, 2011 Posts 4,941 Reaction score 3,417 Aug 7, 2012 #1 hiki kifaa kilikuwa ni cha muhimu sana uingiapo darasa la tatu. kilikuwa ni must have kwa kila mwanafunzi hehehehehehe
hiki kifaa kilikuwa ni cha muhimu sana uingiapo darasa la tatu. kilikuwa ni must have kwa kila mwanafunzi hehehehehehe
V vunjajungu JF-Expert Member Joined Nov 25, 2011 Posts 576 Reaction score 246 Aug 7, 2012 #2 Nakumbuka nilipoteza vifaa vyote nikawa nawekea mahindi ya kukaanga.
E evoddy JF-Expert Member Joined Nov 9, 2011 Posts 302 Reaction score 67 Aug 7, 2012 #3 Hii imenikumbusha enzi hizo ukiwa huna hivyo vifaa MWALIMU ANAKWAMBIA SHIKA NDOLE.Mwailimu SISIMIZI KWA WALE TULIOSOMA NSHAMBA EXTENDED miaka ya mwanzoni mwa tisini wilaya ya MULEBA
Hii imenikumbusha enzi hizo ukiwa huna hivyo vifaa MWALIMU ANAKWAMBIA SHIKA NDOLE.Mwailimu SISIMIZI KWA WALE TULIOSOMA NSHAMBA EXTENDED miaka ya mwanzoni mwa tisini wilaya ya MULEBA
Mwanahisa JF-Expert Member Joined Jun 29, 2012 Posts 1,382 Reaction score 518 Aug 7, 2012 #4 Yani mkebe huu ukiwa na kalamu moja unapiga kelele kuliko maelezo.
King Kong III Platinum Member Joined Oct 15, 2010 Posts 64,283 Reaction score 98,883 Aug 7, 2012 #5 Mambo ya bikari kwenye mkebe kipima pembe du hatareeee long tym sana hayo makitu watoto wa kishua wanaita Compass!
Mambo ya bikari kwenye mkebe kipima pembe du hatareeee long tym sana hayo makitu watoto wa kishua wanaita Compass!
KOKUTONA JF-Expert Member Joined Jan 29, 2011 Posts 8,651 Reaction score 6,110 Aug 7, 2012 #6 Nilikuwa naweka hela za visheti under it, i see long time kwakweli.