Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,484
- 4,826
EFM wanajitangaza...Mikoani wamefanya matamasha ambako redio yao inasikika..Wamefanya matamasha Pwani, Tanga, Mwanza, Mtwara na Mbeya...Na matamasha haya yamerushwa live na EFM/TVE...Na yote yamehudhuriwa na umati mkubwa...Haaaa haaaaa. ! Wangekuwa na mapafu wangefuata na huko mikoani.! Wawaulize eatv ! Chaliiii..... Tuende mbele turudi nyuma Mawingu in jeshi lililoshiba, mapungufu kila MTU anayo na utofauti. In my life toka 2000 mi ni clouds FM, Habari Radio One.
Umebadili swali tena?..Swali la msingi lilikuwa msanii kuwa na beef na Clouds na kuendelea kutamba...Hao waliotajwa pamoja na kwamba walikuwa na beef waliendelea kutamba (jibu la swali lako la msingi)..Pamoja na beef kuisha mpaka sasa Clouds hawachezi nyimbo za Jide na bado anatamba...
Muosha huoshwa [emoji28]
Kweli mkuuHapo ni kuwagombanisha wasanii na media
Kwanza kbla ya yote leo wametaja list ya wasanii watakaoimb fiesta,mr blue,vanesa mdee,jux,weusi,be pol,stamina,rma,ali kiba,maua sama, aslay,na bdo list inaendlea sasa swali show ya efm uend kumwangalia msanii gani mda mwngne tjiulize au ndo kna dula makabila,ishu so bure ishu unaenda kumwngalia nani wa maana
Sawa B 12,wamekusikiaMpambano gani unaweka tamasha bure kama wanajiamini na wao waweke kiingilio hapo ndio tutaita Mpambano, Uo ndio umasikini waafrika wengi tumejaliwa..! Kufanikiwa kwa MTU , uwa inatuuma sana...! Wao wanaumia Sana'a wakiona jamaa anavyopiga hela na fiesta yake.!! MSIWE NA AKILI ZA KAA
Yetate-nanee, Mghoshi ijo dumange wajidumuia hi? Tiin'ke venue!!Nawengine tunaweka tamasha la nyimbo za injili( Gospel music Concert ) siku hiyo hiyo, nimesikia kuwa wasambaa watakuwa na ngoma ya mdumange na kiingilio bure kwa wasambaa wote, kama sio msambaa unaingia kwa buku jero
Mkuu mie ni mhenga nimepita umri wa kurukaruka kwenye matamasha lakini kabla ya kuwapa tuhuma hao jamaa WAZEE BURE ningependa uangalie uwezo wa leaders club kuchukua mashabiki pia na uwezo wa venue ya WAZEE WA BURE kisha kuangalia idadi ya vijana waliopo Dar na maeneo ya jirani. Utagundua kwamba wateja ni wengi kikubwa kila upande kufanya matangazo ya uhamasishaji tu ili wahusika waeleweMpambano gani unaweka tamasha bure kama wanajiamini na wao waweke kiingilio hapo ndio tutaita Mpambano, Uo ndio umasikini waafrika wengi tumejaliwa..! Kufanikiwa kwa MTU , uwa inatuuma sana...! Wao wanaumia Sana'a wakiona jamaa anavyopiga hela na fiesta yake.!! MSIWE NA AKILI ZA KAA
Mlikua mnalaumu clouds kubania wanamuziki wasioukubali kupiga show zao,njia mojawapo kuweka tamasha pingani.Hata kama ni Competition hicho wanachotaka kufanya Efm/TVE ni utoto sasa... Kwa style hii maendeleo nchi hii ngumu sana
Inajulikana Fiesta ni brand ya clouds kwa nini usipange ratiba zako tarehe nyingine kama unahamu ya kutupa tamasha la bure? To me that is so low and pathetic! Kama wao ndio walianza kutangaza tarehe basi clouds wasogeze mbele
Nadhani bure ni kwa mashabiki si wasaniii.Hapo msanii nae atachekecha akili yake, kwamba uitwe side A ya bure au uitwe side B ya mpunga
Mkuu naomba location ya kwa wasambaa wenzangu nikacheze mdumangeNawengine tunaweka tamasha la nyimbo za injili( Gospel music Concert ) siku hiyo hiyo, nimesikia kuwa wasambaa watakuwa na ngoma ya mdumange na kiingilio bure kwa wasambaa wote, kama sio msambaa unaingia kwa buku jero
Hiyo ni fursa kwa e-fm kuweza kujibrand. Tumia pesa upate pesa...Thatc marketingMpambano gani unaweka tamasha bure kama wanajiamini na wao waweke kiingilio hapo ndio tutaita Mpambano, Uo ndio umasikini waafrika wengi tumejaliwa..! Kufanikiwa kwa MTU , uwa inatuuma sana...! Wao wanaumia Sana'a wakiona jamaa anavyopiga hela na fiesta yake.!! MSIWE NA AKILI ZA KAA
Time will TellHiyo ni fursa kwa e-fm kuweza kujibrand. Tumia pesa upate pesa...Thatc marketing
Kila mkoa wanaosikika wamefanya muziki mnene hiyo mengine hawakwenda sababu bado hawajaanza kusikika.Haaaa haaaaa. ! Wangekuwa na mapafu wangefuata na huko mikoani.! Wawaulize eatv ! Chaliiii..... Tuende mbele turudi nyuma Mawingu in jeshi lililoshiba, mapungufu kila MTU anayo na utofauti. In my life toka 2000 mi ni clouds FM, Habari Radio One.
Akifanya mwenzio ni ndoto za kimaskini, ukifanya wewe ni Akili za Kitajiri.