Nouma xana??

"Nouma xana"? Kwa uandishi huu utaishia kuwaita shemeji.
 
Ndixo! Watabaxi kuwa shemexi xako tu!!
 
Nouma xana uandishi huo ww umri wko ni miaka 17 maliza kusoma wanawake wa nn ww ?
 
Ww wko miaka mingap maana unarukia tu issue sio yko n, mm namwambia yy matumizi ya xana badala ya sana
 
Ww wko miaka mingap maana unarukia tu issue sio yko n, mm namwambia yy matumizi ya xana badala ya sana

ww = wewe? au?

yko = yako? ama?

yy = yeye? au nakosea spelling?

wko = wako?..

happy holy friday, weekend and easter. tuonane kesho kwa msaada zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…