Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 20,567
- 38,162
Hizbullah ipi hii inayoua watu ndani ya israhell kwa makombora ama nyengine ile qataib ya iraq?North korea ni mikwala kama Hezbollah tu
Hizbullah ipi hii inayoua watu ndani ya israhell kwa makombora ama nyengine ile qataib ya iraq?North korea ni mikwala kama Hezbollah tu
Alokwambia kama korea hawana furaha nani?Kivuyooo...acha kukariri.Ukiona neno "kuishi maisha magumu na mashaka" wewe unawaza ni kula makande tu?Haufikirii kuhusu uhuru wa nafsi iliyo na furaha bila woga?Umeelewa au uletewe "pure"?
Nyie muna uhuru gani huko kwenu mzee kuwazidi koreaUgumu wa maisha yao siyo kwenye kula ubwabwa kwa maharage.Wanaendeshwa kidikteta na hata kutoka kwa uhuru kwenda nje ya nchi yao ni dhahma.
Umewahi kuishi Korea(kaskazini)kabla ya kuanza kukaririsha juzuu watoto madrasa?Alokwambia kama korea hawana furaha nani?
Kwa hiyo unabisha kwamba wana maisha ya hofu au unataka kujiunga na wenzako mfanye usafi siku iliyotajwa?Nyie muna uhuru gani huko kwenu mzee kuwazidi korea
Si munalalamika hapa kufanya maandamano jeshi likiwa linataka kufanya usafi
Jeshi linafanya zake usafi halina muda mtu nyie andamaneni si mnasema maandamano ya amani ila bado mnalialia tu yaaani
Nikipata nauli ntakuja kufanya usafi na kuandamana kwapamojaKwa hiyo unabisha kwamba wana maisha ya hofu au unataka kujiunga na wenzako mfanye usafi siku iliyotajwa?
Wewe una uhuru wa nafasi katika hii nchi ya Tanzania mtumia fake ID ?Kivuyooo...acha kukariri.Ukiona neno "kuishi maisha magumu na mashaka" wewe unawaza ni kula makande tu?Haufikirii kuhusu uhuru wa nafsi iliyo na furaha bila woga?Umeelewa au uletewe "pure"?
Wewe umewahi ishi NK ?Umewahi kuishi Korea(kaskazini)kabla ya kuanza kukaririsha juzuu watoto madrasa?