Note 2 original kwa 250k

Note 2 original kwa 250k

Katafte tecno au huawei kwa bei hyo utapata full boxed na boxer juu. Note 1 used tu n lak na nusu...
 
mi nataka note II sitaki tecno wala huawei, kama unayo niPM tuongee

Hiyo bei ndogo Mkuu na Kama ukipata basi mtu anashida sana au ya wiZi jipange kwa laki tano ivi unaweza pata tena kuhusu box lake sijui
 
Note 2 mkuu hupati kwa hiyo hela, labda clone,
 
Yah, hata laki 5 hupati full box, mayb 650
 
Back
Top Bottom