Not responding

Raia Fulani

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2009
Posts
11,866
Reaction score
4,264
wadau habari zenu. Natumia laptop ya dell atg. Search engine zipo explorer na mozilla. Tatizo la explorer ni kuwa iko slow so muda mwingi natumia mozilla ambayo iko fasta ikiamua. Natumia pia modem yenye mtandao wa voda. Tatizo inafika muda mozilla inagoma na kusema 'not responding' hili tatizo ni la muda sasa. Nifanyeje itulie? Pia network ya voda huwa inafika muda japo inaonyesha 'connected' alama ya network inakuwa na 'x' nyekundu. Msaada tafadhali
 
dah! Hakuna mwenye kuweza kunisaidia?
 
suala la modem voda kuonyesha nyekundu soma manual inayokuja na modem limejibiwa vizuri tu. Kila taa green, blue, cyan na red ina maana yake.

mozilla not responding inawezekana kabisa unarun vitu vingi wakati ram na processor ni ndogo. Sio lazima program unazorun zionekane kwa macho ila nyengine zinarun background.
 

nashukuru kwa maelezo yako ndugu. Laptop yangu ni 4gb ram. Pia hapo kwa program ku run background nifanye vipi liishe?
 
okay,ram ht km ni 4GB,speed ya processer ni ngp??
hzo program ziangalie kwenye task manager..
Press Ctrl+Alt+Delete then End unnecessary prog ambazo hazitumiki kwa muda huo!!!
 
Ilo tatizo la not responding I Believe sio computer yako ata mim natumia voda, inatokeaga either imejidisconnect au mtandao umeyumba, na hutokea mara nyingi bandwith nikiwa nimetumia lyk 4gb, so chakufanya. Disconnect iyo connection na connect tena mambo poa. Pia nakushauri uachane na firefox na utumie Chrome, iko more lighter, faster and efficient. Mozilla naona kama ni mzigo.
 
okay,ram ht km ni 4GB,speed ya processer ni ngp??
hzo program ziangalie kwenye task manager..
Press Ctrl+Alt+Delete then End unnecessary prog ambazo hazitumiki kwa muda huo!!!
Mkuu hapa naona processes ni 48-50, CPU usage varies in terms of percentage, na physical memory ni 37% hivi. sasa hizi program ambazo hazitumiki nazijuaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…