name calling kama sio bullying....acha hizo great thinker...kama hupendi mada zake usicoment....:A S 13::A S 13:
upo sahihi kiongozi!She needs help, ushauri zaidi from MMU family Inkoskaz included
Usitetee hii Roselyne, Anachanganya sana nimefuatilia haipendezi we Should reflect this :Great thinkers:name calling kama sio bullying....acha hizo great thinker...kama hupendi mada zake usicoment....:A S 13::A S 13:
nimekuta thread nyingine huku analalamika pm...kumbe unaweza ku-pm akatafsiri tofautiShe needs help, ushauri zaidi from MMU family Inkoskaz included
Ni kweli the lady needs medical attention... lakini vilevile nahisi ni kama wale waliotumwa kuharibu JF MMU forum:A S 13:
nimekuta thread nyingine huku analalamika pm...kumbe unaweza ku-pm akatafsiri tofauti
https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/111891-mibaba-ya-jf-ina-tabia-mbaya.html
mimi naamini,hawi serious na chochote anachokiandika,either she or he wants attention. kwani ni mtu na akili zake,na kama angetaka kubadilika angeshabadilika,kama kufahamishwa,ameshafahamishwa sana tu.ila yeye mwenyewe anaona sawa tu.the best way mtu u comment unavyoona mwenyewe au isome na ipotezee.akitaka kubadilika,atabadilika mwenyewe bila ya kuambiwa na mtu
Nakubaliana na mtoa mada,ila ni ngumu kumsaidia mtu mwenye sura kumi....leo atasema anatafuta mume,kesho kaolewa,kesho kutwa namtaka mume wa jirani.....yaani inakuwa kama drama fulani,its like she is playing us,which is unfair coz tunamshauri kwa nia safi.....awe tu clear na anayeeleweka,hata kufunga tutafunga kwa ajili yake........