Million dollars
JF-Expert Member
- Jul 20, 2016
- 1,508
- 2,070
Hahahaha acha roho mbaya wewe! Kwa akili yako hela yote nitanunulia vitabu na kulipia ada? Kwani party ni matumizi mabaya ? Hivi unajua hata maana ya party? Wewe ungekuwa Rais hakuna ambaye angepata mkopoJidanganyeni tu mtakuja kulia yaaani ndo maana mnanyimwa mkopo sasa Party ya nn wakati hamjui hatma mnaendeshwa kwa lonja za kudanganyana tu nyie watoto tangu lini link ika expire jamani yaaani mmekamia kufanyia ujinga hela
Kumbe mpo wengi eeh endeleeni kubana balls mkopo usitokeJidanganyeni tu mtakuja kulia yaaani ndo maana mnanyimwa mkopo sasa Party ya nn wakati hamjui hatma mnaendeshwa kwa lonja za kudanganyana tu nyie watoto tangu lini link ika expire jamani yaaani mmekamia kufanyia ujinga hela
Habari njema kwa wote tulioandikiwa Hiyoile link kwanza ime expire ni ya kitambo since October 16 ..kwahyo habari njema ni kwamba link mpya ipo njianii inakuja wote tutapata mkopo.sasa tukipata jamani itabidi. Mni pm kuna kaparty tutafanya mjini hapa cha kuvunja kamati ya TCU na HESLB
Majina yametumwa vyuoni na imekuwa siri hayawekwi tena hadharani kuogopa wafukunyuku.Kama MTU unajijua hujapata mkopo mpk sasa hesabu maumivu na kama ulidanganya taarifa kiama kinakuja madogo hakuna batch nyingine aiseee wamemaliza rasmi kutoa majina na mkurugenzi mkuu bwana badru amethibitish hilo Leo kwa hiyo hapo kama MTU alikuwa anasubiri miujiza itatendeka jua mashindano yamefungwa
Kama MTU unajijua hujapata mkopo mpk sasa hesabu maumivu na kama ulidanganya taarifa kiama kinakuja madogo hakuna batch nyingine aiseee wamemaliza rasmi kutoa majina na mkurugenzi mkuu bwana badru amethibitish hilo Leo kwa hiyo hapo kama MTU alikuwa anasubiri miujiza itatendeka jua mashindano yamefungwa