North Korea 'will not use nuclear weapons' unless threatened

stormryder

JF-Expert Member
Mar 23, 2013
3,610
5,512
Katika Kikao cha chama Tawala(Takribani Miaka 35) Kiongozi Jeuri wa Nchi Hiyo aalitoa Maneno amabayo mimi ni mmoja Wa watu ambao sikutarajia kutoka kwake.
He said the government would "improve and normalise the relations with those countries which respect the sovereignty of the DPRK and are friendly towards it, though they had been hostile toward it in the past".
As quoted, Kim Jong-un as wants to "build an economically powerful state and to develop the people's economy". Whether that means allowing more private businesses and going down the Chinese route to economic development is completely unclear. There is no indication that North Korea's leader has opted for that.

Swali Langu, Je ni kujinasua kutoka kwenye vikwazo vinavohatarisha uhai wa Taifa lake?, Je ni kuonesha hakuna nchi inaweza Kuendelea kwa sera za Kijamaa bila kuhusisha seka Binafsi?
 
Back
Top Bottom