Thats manish[emoji122] [emoji122] [emoji122]North Korea has threatened to send "more gift packages" to the United States, days after testing the biggest nuclear weapon it has ever detonated.
Han Tae-song, ambassador of the Democratic People's Republic of Korea (DPRK) to the United Nations in Geneva, addressed the UN-sponsored Conference on Disarmament on Tuesday after his country carried out its sixth nuclear test.
"I am proud of saying that just two days ago on the 3rd of September, DPRK successfully carried out a hydrogen bomb test for intercontinental ballistic rocket under its plan for building a strategic nuclear force," Han told the Geneva forum.
"The recent self-defence measures by my country, DPRK, are a gift package addressed to none other than the US," Han said.
"The US will receive more gift packages from my country as long as it relies on reckless provocations and futile attempts to put pressure on the DPRK," he added without elaborating.
unajihakikishiaje kwamba hao jamaa hawawezi kuzifikisha hizo " zawadi" kwa mmarekani? hahaaaa, N.k Pasua kichwa aseee, alipotishia kushambulia kisiwa cha Guam walianza kukimbizana mara kutoa tahadhari kwa raia halafu jamaa kakapiga kimya tu....US anachezeshwa kibinda na mapanki.Wajaribu waone moto wa Us maninerrrr
kwa hiyo wewe huwa unafurahishwa na ubabe wa America dhidi ya mataifa mengine? don't hate kim, hate those hogs from USA coz they're the ones who created Kim's mind set of weaponization for the sake of national self defense,Kim ni Mbwa tena Mbwa koko!!! Siku Trump akiamua kupress button No Body Will Survive In North Korea. Dogo hajitambui. I hate this **** young boy Kim!!![emoji109][emoji109]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Unaingia kichwa kumvamia Kiduku unashangaa kitu aina ya BULAVA TSAR 18 AU SATAN kinafyatuliwa kutoka N korea kuelekea N York mbona patakuwa patamu moja linatumwa kwa wapambe Australia japan s korea halafu unamalizia ulaya kati
"TOTAL DESTRUCTION IS THE ONLY SOLUTION"kwa hiyo wewe huwa unafurahishwa na ubabe wa America dhidi ya mataifa mengine? don't hate kim, hate those hogs from USA coz they're the ones who created Kim's mind set of weaponization for the sake of national self defense,
Ngw'ana Kabula
Ubavu huo hana! Akipress button, na zile za korea ya kaskazini zinawaka automatically na hapo hakuna mshindi, maana kote kote kutatokea majivu! Vita vya nyuklia kwa taarifa yako vinaitwa MAD yaani Mutual Assured Destruction! Yaani ukivianzisha maana yake umejihakikishia maangamizi yako mwenyewe!Kim ni Mbwa tena Mbwa koko!!! Siku Trump akiamua kupress button No Body Will Survive In North Korea. Dogo hajitambui. I hate this **** young boy Kim!!![emoji109][emoji109]
Muda ukifika tutaongeaTimu Trump inapumulia kwenye mashine! Chezea kiduku wewe! Kiburi cha Marekani ni kupigana kwenye ardhi za wengine! Sasa Kiduku kawaambia zawadi atazituma kwenye ardhi yao kama wataendeleza uchokozi!
Mmarekani amesafiri maelfu ya maili mpaka kuweka majeshi yake korea ya kusini na kufanya mazoezi ya kivita karibu na mpaka wa korea kaskazini, kama siyo uchokozi nin nini?
Sasa katika mazingira hayo utegemee Dogo wa kiduku asijiandae kwa silaha za nuklia? Au Atakuelewa ukimwambia aachane na nuklia? Gadafi aliachana na silaha za nuklia leo yuko wapi?
Kinachomsumbua Marekani ni kuwa anajisikia fedheha sana kuvimbiwa na dogo na kujikuta hana namna ya kufanya!
Suluhisho ni moja tu, nalo ni kukubali kuwa Dogo keshakuwa mkubwa mwenzake na hivyo waishi kwa kuheshimiana, wala siyo kutishana! Kama asivyoweza kumtisha Putin, pia akubali kuwa wakati wa kumtisha Dogo wa kipanki umekwisha!
Sio Rahisi Kama unavyoisiKim ni Mbwa tena Mbwa koko!!! Siku Trump akiamua kupress button No Body Will Survive In North Korea. Dogo hajitambui. I hate this **** young boy Kim!!![emoji109][emoji109]
maalim shewedy US wasubiri kifurushi chao tu hakuna namna lazima wakipate!!!