Duniani Superpower ni moja tu nayo ni United States of America (USA),Na kwa sasa Rais wake ni Donald Trump,Hivi mnaelewa maana ya Superpower au huwaga mnaongea ongea tu!!!
sikaririDuniani Superpower ni moja tu nayo ni United States of America (USA),Na kwa sasa Rais wake ni Donald Trump,
Hajatokea mwingi,Uchumi mxuri na Jeshi bora hiyo ndo SuperpowerU
sikariri
Pompey = Γ Mike Pompeo=ββBaada ya Korea Kaskazini kufanya majaribio ya kuonyesha inauwezo wa kufanya mashambulizi ya kupiga bomu la nyuklia sehemu yeyote Marekani na Ulaya sasa ni rasmi nchi imejiunga rasmi kwenye nchi zenye uwezo wa kuwa na silaha ya nyuklia.
Rais wa China anategemewa kufanya ziara na kukutana na Rais Kim Un Jong huko Pyongyang. Mkurugenzi mteule wa CIA Pompey alifanya ziara mwanzoni mwa mwezi huu na kufanya mazungumzo na Rais Kim Un Jong katika kufanya matayarisho ya mkutano unaotegemewa kufanya mwezi May kati ya Rais Donald Trump na Kim Un Jong.
Kuna taarifa zinasema kuwa utafanyikia kwenye meli ya kivita ya kimataifa ...hawataki ifanyikie kwenye eneo lolote lenye wanajeshi wa Marekani, Urusi , China Korea au JapanKwaiyo mkutano utafanyika Pyongyang au Washington?
Duh!! Lakini itakuwa ni siku moja tu?Kuna taarifa zinasema kuwa utafanyikia kwenye meli ya kivita ya kimataifa ...hawataki ifanyikie kwenye eneo lolote lenye wanajeshi wa Marekani, Urusi , China Korea au Japan
KatikatiKwaiyo mkutano utafanyika Pyongyang au Washington?
Haijajulikana ...na Japan inaona kama haijashorikishwa sasa inataka kushirikiDuh!! Lakini itakuwa ni siku moja tu?
Wanaleta habari za kwenye kahawa hawa[emoji12]Hivi mnaelewa maana ya Superpower au huwaga mnaongea ongea tu!!!
Mrusi anamgwaya mmarekani kwani putin hana nyuklia?Marekan anamgwaya kiduku mwenye nyuklia na akili za kiwendawazimu.
Pole sanaDuniani Superpower ni moja tu nayo ni United States of America (USA),Na kwa sasa Rais wake ni Donald Trump,
Baada ya Korea Kaskazini kufanya majaribio ya kuonyesha inauwezo wa kufanya mashambulizi ya kupiga bomu la nyuklia sehemu yeyote Marekani na Ulaya sasa ni rasmi nchi imejiunga rasmi kwenye nchi zenye uwezo wa kuwa na silaha ya nyuklia.
Rais wa China anategemewa kufanya ziara na kukutana na Rais Kim Un Jong huko Pyongyang. Mkurugenzi mteule wa CIA Pompey alifanya ziara mwanzoni mwa mwezi huu na kufanya mazungumzo na Rais Kim Un Jong katika kufanya matayarisho ya mkutano unaotegemewa kufanya mwezi May kati ya Rais Donald Trump na Kim Un Jong.
Hivi mnaelewa maana ya Superpower au huwaga mnaongea ongea tu!!!
Wewe zidi kukariri tu mambo ya Cold War! Na kasumba ya CIA NA FBI!Duniani Superpower ni moja tu nayo ni United States of America (USA),Na kwa sasa Rais wake ni Donald Trump,
Duniani Superpower ni moja tu nayo ni United States of America (USA),Na kwa sasa Rais wake ni Donald Trump,