Kali Kenye
Member
- Dec 4, 2013
- 22
- 6
Mie ni kijana wa miaka 24, ni mwanafunzi wa udaktari mwaka wa 3 ktk chuo kikuu cha kcmc, nina mpenzi wangu ambae tumekua kwe love toka form 5, lakin nmetokea kumpenda housegirl wetu. nahisi kuchanganyikiwa na penzi la mtoto uyu wa kitanga. NAOMBENI USHAURI.
Mapenz bana hayanaga formula,penda pale moyo wako ulipodöndokea,maneno ya watu na vingine ni mbwembwe,kwan housegal ana alama usoni?ebu mchek joyce kiria housegal aliyestaafu anavyojikubali!