Mimi ni kijana nimehitimu kidato cha sita nataka ku-apply diploma ya clinical medicine nilikua napenda mnijuze maana napata ugumu kidogo. Hivi pesa ya kujisajilia ile elfu 30, 000 nikwa vyuo vyote au chuo kimoja? Na nimesoma CBG vipi hiyo course naweza soma nina E kwenye masomo yote
Kwani unataka kusoma chuo gani!? Kwanini usitembelee kwenye tovuti ya hicho chuo unachotaka kusoma ili ujue mambo mengi zaidi!? Hapo tumia cheti cha form 4 kuombea hiyo diploma..