Nguvu moja
JF-Expert Member
- Oct 20, 2017
- 3,370
- 2,715
Wapo wanakwambia mwanamke kaolewa akatumikie kitanda hayo mengine mbwembwe tu
Naweza kumpata Mbuzi anayepika ?Kwa kweli niko poa sana katika upikaji nikikuta mwanamke anapika kama Mbuzi huwa namdharau sana.
Hahahh....poleni aiseee..
Nitakuja mnifundishe kupika, mwenzenu najua kupika chai tuWapo wanakwambia mwanamke kaolewa akatumikie kitanda hayo mengine mbwembwe tu
Njoo mama. Darasa la bureNitakuja mnifundishe kupika, mwenzenu najua kupika chai tu
Shukrani, tuanze lini?Njoo mama. Darasa la bure
Naweza kumpata Mbuzi anayepika ?
Kama kitandani uko vizuri sio mbaya shost...[emoji16]jitahidi tuu hata kutengeneza saladiNitakuja mnifundishe kupika, mwenzenu najua kupika chai tu
Huko kitandani kwenyewe najua kulala na kujifunika tu[emoji23]Kama kitandani uko vizuri sio mbaya shost...[emoji16]jitahidi tuu hata kutengeneza saladi
Jumamosi ijayo..Shukrani, tuanze lini?
Asante kwa kujali, ntakuja mwayaJumamosi ijayo..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]njoo shogaangu mwaya nikufundishe kukaa jikoni...ya kitandani basi atakuja kungwi[emoji23]Huko kitandani kwenyewe najua kulala na kujifunika tu[emoji23]
Karibu mamaAsante kwa kujali, ntakuja mwaya
Kwa nini usimfundishe kablaMwanamke usipojua kupika ni msiba
Mkubwa sana kwenye nyumba yako!!!
Itabidi tumafutie na kungwi akafundwe.. Cc @ShunieHuko kitandani kwenyewe najua kulala na kujifunika tu[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]njoo shogaangu mwaya nikufundishe kukaa jikoni...ya kitandani basi atakuja kungwi[emoji23]