teh teh tehNakumbuka kitambo nikiwa primo niliwahi beba
chakula(iyo day nilibeba kuku na chapo) na
nilikua nimeplan vile nitaflossia kale kacrush
kangu ka class four. Izo masiku nakumbuka
tulikua tunatumia kasuku ya mafuta mboga
kama lunch box tukienda shule.
Sasa,on this material day, nilikua naringa sana
hadi nikaambia chopi wa daro anifanyie
assignment alafu lunch time ikifika
nitamshughulikia na kiwing kimoja cha kuku. Iyo
siku nikakua an instant Celebrity kwa class.
Hata hako kacrush kangu kakaanza kunitupia
masmile zingine mwenda nikajua bassss,,
mambo yangu ishakua sawa. Nakumbuka hata
niliambia prefect wa class anivute kwa list ya
noise makers na late comers alafu kilanchielle
kikifika atapata zigwembe ya kuku. Kila mtu
alikua ananiworship kwa class msee.
Ikafika lunch time.... nikajua ata sitakula na
sitatoka daro hadi wasee warudi classes alafu
iyo afternoon preps ndio nianze kula my yummy
food. kengele ikalia ya kumaliza lunch break,,
wale wasee wote nilikua nawa-owe a piece of
chicken wakagather around my locker....nikatoa
kasuku yangu ya food....nikatoakijiko alafu
nikafungua ati ndio nimange. Hapo ndio
nikapata nilikua nimesahau nikabeba mafuta ya
mboga nikaacha chakula...
Imebidi nicheke sana.Nakumbuka kitambo nikiwa primo niliwahi beba

Jifunze kuheshimu lugha za watu.hiyo lugha uliyotumia siku nyingine peleka kibera
Hizi ni lugha za machokoraa wa Mathare, Dandora na Kariobangi.Kawangware in the motion [emoji41]
Anaandika lakini?Hizi ni lugha za machokoraa wa Mathare, Dandora na Kariobangi.
Nyambafuuuuu.....
Siju niwa huko huko au kajifunza? Nimerudia kuisoma ndiyo nimepata kuielewa vizuri.Anaandika lakini?