Tetesi: Noma..... EU Boost Kenya's Big 4 Agenda with a whooping Sh519B

Wow! kwa wale wanaojiuliza 519b shillings ni hela kiasi gani, ni $5 billion dola za Marekani..unajua huko kwa wenzetu ukiwaambia mabilioni ya shilingi wanafikiria ni thousands of dollars tu maana hela zao ni makaratasi tu (yaani hazina value kabisa)..tsh huwa inanikumbusha Zimbabwe..anyway, Just think of what $5 billion dollars can do for the country if it is used appropriately...hizo ni hela nyingi sana..zinaweza finance big 4

Kwao ni trillions....
 
HADI TUNAVYOOONGEA SISI TANZANIA NDO NCHI INAYOOONGOZA KWA KUPEWA MISAADA AFRICA HADI KUFIKIA MWAKA HUU KABLA KINA BASHITE HAWAJAVURUGA NA WATU WASIOJULIKNA KUCHAFUA HALI YA HEWA...MISAADA IMEKATA TUNATENGENEZA BAJETI KUUUBWA KUMBE PULIZO,BAJETI HEWA
Usiandike usivyo vijua, Kenya inapokea misada kama Tanzania, tena level moja. Na fungu kama hili la kwenye Uzi huu, lazima watakuwa wameshika numba za mwanzoni.
 
This a very great development, the big four agenda, if successfully seen through will change the face of Kenya very drastically. It is indeed a step in the right direction to achieving Kenya's Vision 2030.

Uhuru akifanikisha hii big four yaani kwa kweli atakumbukwa sana, naomba sana tufaulu maana Wakenya watakua kwenye level nyingine tena mbali, vision 2030 naiona.
 
Usiandike usivyo vijua, Kenya inapokea misada kama Tanzania, tena level moja. Na fungu kama hili la kwenye Uzi huu, lazima watakuwa wameshika numba za mwanzoni.
BADA YA HILI FUNGU NDO WATAKUWA WAMETUZIDI SISI NDO NAMBA MOJA AFRIKA NZIMA NA SASA HIVI HAWATAKI MAMAEEEEE,ZIMBABWE ON THE WAY
 
Naona bado tunapiga vifua na pongezi nyingi kwa mabwana zetu EU na wengine kibao huko Maulayani na Mawesten hasa pale tupewapo misaada mbalimbali.

Ila ikumbukwe tunavyopoteza Africa ni vingi kuliko hii misaada yao kwetu.

Ni heri kukopa kiasi kikubwa cha pesa kutoka WB na mashirika mengine ili kukamilisha mipango endelevu kwa uchumi wetu kuliko kubweteka na kusubir vimisaada vyao tena vyenye mashart lukuki.

VIVA AFRICA
VIVA EAC
 
BADA YA HILI FUNGU NDO WATAKUWA WAMETUZIDI SISI NDO NAMBA MOJA AFRIKA NZIMA NA SASA HIVI HAWATAKI MAMAEEEEE,ZIMBABWE ON THE WAY
Hivi umefanya utafiti kuona kama Tanzania ndio numba moja Afrika au unasema kwa hisia zako.

Katika top ten ya nchi zinazopokea misaada Afrika, Tanzania ni no. 3 Kenya ni no. 4.
 
Hivi umefanya utafiti kuona kama Tanzania ndio numba moja Afrika au unasema kwa hisia zako.

Katika top ten ya nchi zinazopokea misaada Afrika, Tanzania ni no. 3 Kenya ni no. 4.
The contradictions you bring here are unmatched anywhere sanity exists.
 
Hivi mwafurahia misaada

Kuna tofauti kati ya grants na donation, hata hivyo hatuwezi kugomea wakitupa mahela maana tunayahitaji ili kufanya makubwa, wao wameinyonya Afrika pakubwa ikiwemo madini yenu, hivyo wakirejesha kwa njia ya ruzuku tunapokea tu, cha msingi sisi hatutegemei misaada kuendesha bajeti ya nchi kama mnavyofanya.
 
Back
Top Bottom