nokia

Hata ni' ngastuka sana uishi foo.

mikela;ngastuka
 
Kaah! Waganga nouma.ungesikia mizimu inataka chips kuku na tomato kwa mbaaari,pia ulete na paketi moja ya sigara sm na kibiriti cha gesi kwa ajiri ya kuchanganyia dawa.bila kusahau kuku mweupe,bia mbili aina ya tusker hii tutatumia kufukuzia mapepo machafu yanayo kuandama, si unajua mapepo hayapendi pombe?
 

hahahaha dah kaka umeua huku lol
 
Au utaskia lete mifuko miwili ya cement na mbao 4 by 2 kama tano hivi na usisahau misumari kilo kumi....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…