Mukulu wa Bakulu
JF-Expert Member
- Aug 12, 2014
- 4,052
- 12,906
Wewe wajua zaidi kuliko waoKifaa gani cha Nokia kisichodukuliwa?.Nina tumia Nokia 5,ni stock android.Kuna usalama gani kwenye Nokia zao ikiwa imekuwa powered by Android kama zingine tu.
Wewe wajua zaidi kuliko wao
Hahaha hivi Nokia nae anaongea nini mwanaharamu aliyeshindwa soko la smartphone mpaka akaamua kuunga mkono juhudi za android?
Bora hata Oppo aongee japo nae ni android os user.!
Nokia hawajielewi mkuu, hii vita wasijiingize ni sawa wanajitia aibu tu maana weupe sana kwenye software japo hardware nawakubali mfano mabetri na accessories lakini huko kwingine wasijitie kuwadhihaki Huawei maana hakuna asiyewajua madhaifu yao.Hakika mkuu.Tena wameamua kutumia stock android ambayo inapata security patch level kila mwezi na Android version kutoka moja kwenda nyingine kitu ambacho hata Huawei wanacho.Sasa usalama gani kwenye android?. Serikali ya Marekani ina back door kwenye Google.Sasa usalama gani uliopo?
Nokia hawajielewi mkuu, hii vita wasijiingize ni sawa wanajitia aibu tu maana weupe sana kwenye software japo hardware nawakubali mfano mabetri na accessories lakini huko kwingine wasijitie kuwadhihaki Huawei maana hakuna asiyewajua madhaifu yao.
unatumia Google halafu unakandia wenzakoNokia wajinga sana.Watumie Os yao basi tuone huo usalama wanaozungumzia.
Niliwahi nunua Nokia Lumia 530 daah sitakuja sahau ile pesa aisee nilichoma 230K hata dream league sikucheza
Jamaa wapumbavu sana wale app store yao kuingia tu ni kwa kubahatisha halafu magemu yao yale ya Kilobytes aisee
Ndomana na sema ni mara elfu aongee hata Xiomi au Oppo ila sio hao vichaa maana nikikumbuka ile phone sina hamu mkuu.
Nilichosalia nacho ni chaja na earphone mpk sasa ziko gud since 2015 ila phone niliuza bei ya bure tu.
Katika muendelezo wa kuimaliza Huawei sokoni, kampuni kubwa ya teknolojia ya Nokia imedai 55% ya vifaa vya Huawei vinadukuliwa kirahisi na hivyo haviaminiki.
Katoka mgogoro wa Marekani na Huawei mojawapo ya tuhuma ambazo bwana tarrif man Trup amasema ni kua vifaa vya huawei vinaweza kudukuliwa na serikali ya China hivyo kuharibu usalama wa nchi.
Soma hapa chini.
Nokia's CTO Slams Huawei After 'Potential Backdoors' Found In 55% Of Its Devices
Nokia's CTO has slammed Huawei's "serious security failings" after new analysis has reported that Huawei poses a quantitatively higher security risk than its rivals.www.forbes.com
Niliwahi nunua Nokia Lumia 530 daah sitakuja sahau ile pesa aisee nilichoma 230K hata dream league sikucheza
Jamaa wapumbavu sana wale app store yao kuingia tu ni kwa kubahatisha halafu magemu yao yale ya Kilobytes aisee
Ndomana na sema ni mara elfu aongee hata Xiomi au Oppo ila sio hao vichaa maana nikikumbuka ile phone sina hamu mkuu.
Nilichosalia nacho ni chaja na earphone mpk sasa ziko gud since 2015 ila phone niliuza bei ya bure tu.
Ila Nokia wamesema hayo ni mawazo ya mtu mmoja na sio msimamo rasmi wa Nokia
Nina imani wajua kwamba Nokia sasa anatumia Android OS same as Xiaomi, Samsung, Huawei and the likes...
Najua ndiyo.. si ni baada ya kushindwa kusurvive kwenye market ya smartphone ndo akaamua kuunga mkono juhudi za Android.
Nimeandika huko juu mkuu.
Windows ilifail sana...ila kwa sasa nadhani tunahitaji mbadala wa Android na IOS
Windows ilifail sana...ila kwa sasa nadhani tunahitaji mbadala wa Android na IOS
Nadhan hapa wanaongelea vifaa vya mawasiliano(telecom equipments, bts, MW dishes) vinavyofungwa kwenye minara ya simu( Telecom towers) ambapo vendors wakubwa duniani Kwa Sasa ni Nokia, Huawei na Ericsson. CTO wa Nokia anadai kuwa telecom equipments za Nokia Ni bora na si rahisi kudukuliwa kama za Huawei. Hawazungumzii simu ambazo nying zao OS zao huwa Ni android au iOSKifaa gani cha Nokia kisichodukuliwa?.Nina tumia Nokia 5,ni stock android.Kuna usalama gani kwenye Nokia zao ikiwa imekuwa powered by Android kama zingine tu.