Kibumbula
JF-Expert Member
- Mar 26, 2018
- 3,680
- 3,344
Hivyo vifaa kwa kiasi kikubwa ni kutoka USA na UK ndio watengenezaji wa patents.
Nadhan hapa wanaongelea vifaa vya mawasiliano(telecom equipments, bts, MW dishes) vinavyofungwa kwenye minara ya simu( Telecom towers) ambapo vendors wakubwa duniani Kwa Sasa ni Nokia, Huawei na Ericsson. CTO wa Nokia anadai kuwa telecom equipments za Nokia Ni bora na si rahisi kudukuliwa kama za Huawei. Hawazungumzii simu ambazo nying zao OS zao huwa Ni android au iOS