Nokia yaishushia tuhuma nzito Huawei, yadai 55% ya vifaa vya huawei vinadukuliwa kirahisi.

Mukulu wa Bakulu

JF-Expert Member
Aug 12, 2014
4,052
12,902
Katika muendelezo wa kuimaliza Huawei sokoni, kampuni kubwa ya teknolojia ya Nokia imedai 55% ya vifaa vya Huawei vinadukuliwa kirahisi na hivyo haviaminiki.

Katoka mgogoro wa Marekani na Huawei mojawapo ya tuhuma ambazo bwana tarrif man Trup amasema ni kua vifaa vya huawei vinaweza kudukuliwa na serikali ya China hivyo kuharibu usalama wa nchi.
Soma hapa chini.
 
Ni hila tu juu ya Huawei.Mbaya zaidi Nokia zao zinatengenezwa china.Pia kwenye contracts za kuweka 5G kwenye Nchi mbalimbali Huawei wamepata nyingi zaidi.Nokia wasitegemee kuwapita Huawei kimauzo na tenda,wanapoteza muda na kulipoteza soko tu.
Wewe wajua zaidi kuliko wao
 
Hakika mkuu.Tena wameamua kutumia stock android ambayo inapata security patch level kila mwezi na Android version kutoka moja kwenda nyingine kitu ambacho hata Huawei wanacho.Sasa usalama gani kwenye android?. Serikali ya Marekani ina back door kwenye Google.Sasa usalama gani uliopo?
Hahaha hivi Nokia nae anaongea nini mwanaharamu aliyeshindwa soko la smartphone mpaka akaamua kuunga mkono juhudi za android?

Bora hata Oppo aongee japo nae ni android os user.!
 
Huawei ndani ya siku 85 imeuza simu million 10 aina ya P 30 series ukilinganisha na mauzo ya P 20 mara baada ya kuzinduliwa.Ikumbukwe pia Huawei imezindua simu zake aina ya Nova 5 na 5i ambazo nazo ni bomba huku mate X foldable ikiwa kwenye maandalizi ya kuzinduliwa huku Samsung akiihofia.

Yetu macho na masikio.

Naona chuki inaanzia hapo.
 
Hakika mkuu.Tena wameamua kutumia stock android ambayo inapata security patch level kila mwezi na Android version kutoka moja kwenda nyingine kitu ambacho hata Huawei wanacho.Sasa usalama gani kwenye android?. Serikali ya Marekani ina back door kwenye Google.Sasa usalama gani uliopo?
Nokia hawajielewi mkuu, hii vita wasijiingize ni sawa wanajitia aibu tu maana weupe sana kwenye software japo hardware nawakubali mfano mabetri na accessories lakini huko kwingine wasijitie kuwadhihaki Huawei maana hakuna asiyewajua madhaifu yao.
 
unatumia Google halafu unakandia wenzako Nokia wajinga sana.Watumie Os yao basi tuone huo usalama wanaozungumzia.

Niliwahi nunua Nokia Lumia 530 daah sitakuja sahau ile pesa aisee nilichoma 230K hata dream league sikucheza
Jamaa wapumbavu sana wale app store yao kuingia tu ni kwa kubahatisha halafu magemu yao yale ya Kilobytes aisee

Ndomana na sema ni mara elfu aongee hata Xiomi au Oppo ila sio hao vichaa maana nikikumbuka ile phone sina hamu mkuu.

Nilichosalia nacho ni chaja na earphone mpk sasa ziko gud since 2015 ila phone niliuza bei ya bure tu.

Haaaaahaaaaa.Pale ilikuwa chini ya Bill gate, Microsoft..Na yeye alishashindwa kwenye soko na windows phones zake zikiwepo hizo Lumia.
Niliwahi nunua Nokia Lumia 530 daah sitakuja sahau ile pesa aisee nilichoma 230K hata dream league sikucheza
Jamaa wapumbavu sana wale app store yao kuingia tu ni kwa kubahatisha halafu magemu yao yale ya Kilobytes aisee

Ndomana na sema ni mara elfu aongee hata Xiomi au Oppo ila sio hao vichaa maana nikikumbuka ile phone sina hamu mkuu.

Nilichosalia nacho ni chaja na earphone mpk sasa ziko gud since 2015 ila phone niliuza bei ya bure tu.
 
Katika muendelezo wa kuimaliza Huawei sokoni, kampuni kubwa ya teknolojia ya Nokia imedai 55% ya vifaa vya Huawei vinadukuliwa kirahisi na hivyo haviaminiki.

Katoka mgogoro wa Marekani na Huawei mojawapo ya tuhuma ambazo bwana tarrif man Trup amasema ni kua vifaa vya huawei vinaweza kudukuliwa na serikali ya China hivyo kuharibu usalama wa nchi.
Soma hapa chini.

Ila Nokia wamesema hayo ni mawazo ya mtu mmoja na sio msimamo rasmi wa Nokia

Niliwahi nunua Nokia Lumia 530 daah sitakuja sahau ile pesa aisee nilichoma 230K hata dream league sikucheza
Jamaa wapumbavu sana wale app store yao kuingia tu ni kwa kubahatisha halafu magemu yao yale ya Kilobytes aisee

Ndomana na sema ni mara elfu aongee hata Xiomi au Oppo ila sio hao vichaa maana nikikumbuka ile phone sina hamu mkuu.

Nilichosalia nacho ni chaja na earphone mpk sasa ziko gud since 2015 ila phone niliuza bei ya bure tu.

Nina imani wajua kwamba Nokia sasa anatumia Android OS same as Xiaomi, Samsung, Huawei and the likes...
 
Najua ndiyo.. si ni baada ya kushindwa kusurvive kwenye market ya smartphone ndo akaamua kuunga mkono juhudi za Android.

Nimeandika huko juu mkuu.

Windows ilifail sana...ila kwa sasa nadhani tunahitaji mbadala wa Android na IOS
 
Ni kweli mkuu lakini process yake si mchezo
Pia vita itakua kubwa sana kwa huyo wa Os ya tatu ukiacha Android na IOS maana Marekani atajitoa kulinda maslai ya nchi yake (google).

Labda huyo mgunduzi atoke US hawa jamaa ni wabishi sana.
Windows ilifail sana...ila kwa sasa nadhani tunahitaji mbadala wa Android na IOS
 
Kifaa gani cha Nokia kisichodukuliwa?.Nina tumia Nokia 5,ni stock android.Kuna usalama gani kwenye Nokia zao ikiwa imekuwa powered by Android kama zingine tu.
Nadhan hapa wanaongelea vifaa vya mawasiliano(telecom equipments, bts, MW dishes) vinavyofungwa kwenye minara ya simu( Telecom towers) ambapo vendors wakubwa duniani Kwa Sasa ni Nokia, Huawei na Ericsson. CTO wa Nokia anadai kuwa telecom equipments za Nokia Ni bora na si rahisi kudukuliwa kama za Huawei. Hawazungumzii simu ambazo nying zao OS zao huwa Ni android au iOS
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom