Nokia x2 01; sii elewi

Nokia x2 01; sii elewi

MOLAM

Senior Member
Joined
Oct 12, 2013
Posts
141
Reaction score
20
Yenyi wataalam wa simu naombeni kujua simu ya "nokia x2 01"ni Android,java au symbian.msaada wakuu.
 
JAVA debugger
ukijumlisha na C3 series zote za asha S40
 
nashukuru mkuu; je kuna antivirua ambayo naweza kuitumia kwaajiki ya hiyo simu

.
Hamna na wala usiogope virus! Hawawezi kuingia kirahisi rahisi tu!
 
Ikitokea waka ingia virus utakuta folder lime ji create na lina ukubwa mkwa linalo some ka imcatche wewe kazi yako ina kuwa ni kufungua kumark na kudelete zote...
 
.
Hamna na wala usiogope virus! Hawawezi kuingia kirahisi rahisi tu!

nakuhusu nokia 2730;inaweza kuingia virus? Naina antivirus;kwani nina simu ambayo inapoteza file siku kwa siku; msaada.
 
Back
Top Bottom