msaada. Simu yangu ya nokia x2 contacts na messages hazifunguki na nikipigiwa screen haioneshi kitu.nimejaribu kureset kwa kutumia code ya *#7370# but tatizo bado liko palepale.Msaada please!