marion09
Member
- Sep 26, 2012
- 81
- 66
Heshima Kwenu wanajamvi.
Simu yangu Nokia X2-01 inagoma ku- download apps, mara nyingi imekuwa iki-respond kwa kuleta ujumbe huu "Service Not Available. Pia OVI Store nayo inagoma kabisa kufunguka. Tatizo hili limeanza baada ya ku-restore default settings.
Nathamini michango yenu itakayosaidia ufumbuzi wa tatizo hili.
Ahsanteni.