Good Father
JF-Expert Member
- Feb 28, 2014
- 10,320
- 18,599
waungwana naomba nifahamishwe kuhusu nokia x je ni simu nzuri? i
Sasa hapo mkuu utasaidiwa vipi?? Kusema tu nokia x!! Funguka zaidi kwani zipo nyingi, we unazungumzia x ngapi?waungwana naomba nifahamishwe kuhusu nokia x je ni simu nzuri? ina program ya ku-block calls/sms?, inasupport applications nyingi km simu zingine zinazotumia android OS km vile Samsung galaxy?
Sasa hapo mkuu utasaidiwa vipi?? Kusema tu nokia x!! Funguka zaidi kwani zipo nyingi, we unazungumzia x ngapi?
kabisaa! kuna nokia x... achana na zile x2 nkInawezekana anaongelea Nokia X (Android devices)