nokia wanatengeneza simu za android

Haya tunaisubiri kwa hamu hiyo Nokia ya android tuone
 
hebu changua toa high na mid end smartphone ueke za bei rahisi kama mada inavyosema
 
hebu changua toa high na mid end smartphone ueke za bei rahisi kama mada inavyosema

Does that matter?

Simu za Samsung zinaweza kuwa bei mbaya kuliko Nokia lakini zimeuzwa zaidi kupita simu zote.

Sasa jiulize hapo ni kwa nini?
 
Does that matter?

Simu za Samsung zinaweza kuwa bei mbaya kuliko Nokia lakini zimeuzwa zaidi kupita simu zote.

Sasa jiulize hapo ni kwa nini?

kuanzia juu kule kila tunachoongea unatunga chako unachange mada lets end here kaka
 
kuanzia juu kule kila tunachoongea unatunga chako unachange mada lets end here kaka

Natunga vyangu vipi hivyo? Umesema kuna "kuna tetesi zinaendelea mtandaoni kuwa kampuni ya nokia inatengeneza simu za android. Inasemekana tayari simu 10,000 zimetengenezwa kama prototype na zinatestiwa. Simu hizo zinatestiwa katika maabara za research za nokia huko china."

Nimekuuliza kama mwaka 2010 Nokia iligoma kuhamia Android because of strategic reason k
wamba Samsung ingekuwa kwenye nafasi nzuri zaidi kudominate the market kwa sababu ya capability yake ya kutengeneza simu na historia yake kwenye industry ya simu, kweli leo Nokia wanaweza kuwapiga bao Samsung kama wakihamia Android sasa?

Capability ya Samsung ya kutengeneza simu na historia yake kwenye industry ya simu imepungua sasa au iko chini zaidi kuliko mwaka 2010? If so, how? Nini kimebadilika? Why not 2010 lakini sana 2013?

Nikakuletea na figure kabisa kuwa mwaka 2010 Nokia ilikuwa inaongoza kwa kuuza simu lakini ikazidiwa na Samsung kuanzia mwaka 2012. Why now? Hujanijibu bado zaidi ya kuzungukazunguka.
 
ubabe wa WP na IOS umezifanya os hizi zisiwe na umaarufu ambao zingekuwa nazo. inawezekana wana sababu zao lakini future ya mobile os nikiitazama naziona Android, Ubuntu touch na Tizen.
 
Ni kwa nini unataka kuuwa sisimizi kwa nyundo ya kilo 10!? Wewe ni miongoni mwa Jf asset.
 
hii ndio madhara ya merger and acquisition sasa..
 
Chief Mkwawa ze braza,,,respect,,!!!!
 
Ni kwa nini unataka kuuwa sisimizi kwa nyundo ya kilo 10!? Wewe ni miongoni mwa Jf asset.

JF hainimiliki. Otherwise, nisingeiponda hata JF yenyewe.

I am not owned by anyone and, thus, I can freely express myself hata kama ni kuuwa tembo kwa ukucha.
 
Sio kila kitu cha kwenye mitandso mnanakirisha na kuviweka hapa Nokia hawawezi weka android os kwenye cm zao hata iweje,
reason ni kwamba kufanya ivo watakuwa wanaua soko la Nokia windows phone,,kitu ambacho naapa kwa kulamba mchanga Nokia hawawezi kufanya.
So, just rumours as stated.

#team Nokia#
 
sasa windows phone ikikua au ikifa nokia inamuhusu nini? hana hisa hata 0.01%
 
sasa windows phone ikikua au ikifa nokia inamuhusu nini? hana hisa hata 0.01%

nokia imenunuliwa na microsoft na android iko ktk market cmu za nokia zimeshindwa kibiashara kwa sababu ya kubaki simbian na window ambazo watu wengi duniani mahitaji yao yako kwenye android inarahisisha vitu vingi kwa wakati mmoja
 
Dah kaz kwel kwel nokia haijanunuliwa kaka inamaana hujasoma thread??
 
kwani microsoft kanunua kila kitu cha nokia? Na kama hana hisa anatengeneza cm za android za kazi gani
Mkuu hapo unajimix

Umesema nokia Hawez tengeneza android sababu ya windows phone,

Nikakujibu nokia hana hisa kwenye windows phone sababu si yake akiondoka akibaki ni sawa.

Hebu angalia jibu ulilojibu na statement yako ya kwanza yani unajipinga mwenyewe

Kwahio mtu mwenye hisa wp ndo anatengeneza android? Hebu panga maneno yako vizuri
 
mh yangu macho ila sitaki kuona nokia anaingia android,atajisahau na kubweteka bora awepo hukohuko windows aendelee kuleta ushindani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…