Nokia wamecheza vyema baada ya simu zao kurun Android one hii imewafanya simu kurudi kwa kasi kwenye ulimwengu wa android....
Akina samsung kazi yao kubwa ni kutuletea stock Android tu
Hakika mkuuKwa hapo Nokia atakimbiza sana, mimi mwenyewe nafikiri kuhamia huko muda sio mrefu.
Sumsung anamapozi sana linapokuja swala la updates za simu zao....sasa kama Nokia amerudi kwa acha turudi tu kwa mkongwe.
Sisi wa tecno tunacoment wapiNokia wameweka ratiba yao ya kuzi upgrade simu zao kwenda Android Pie yaani Android 9 ambayo ndiyo toleo la sasa.Tayari leo Nokia 5 imeanza kupata upgrade ya Android Pie.View attachment 1003672
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye updates hao jamaa ni balaaa.Security patch level update ni kila mwezi.Nokia wame came back vizuri sana
Wengine watasubiri