Nokia wameweka ratiba yao ya kuzi upgrade simu zao kwenda Android

Kibumbula

JF-Expert Member
Mar 26, 2018
3,591
2,000
Nokia wameweka ratiba yao ya kuzi upgrade simu zao kwenda Android Pie yaani Android 9 ambayo ndiyo toleo la sasa.Tayari leo Nokia 5 imeanza kupata upgrade ya Android Pie.
IMG_20190123_134403.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 

idawa

JF-Expert Member
Jan 20, 2012
24,228
2,000
Kwa hapo Nokia atakimbiza sana, mimi mwenyewe nafikiri kuhamia huko muda sio mrefu.

Sumsung anamapozi sana linapokuja swala la updates za simu zao....sasa kama Nokia amerudi kwa acha turudi tu kwa mkongwe.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom