nokia waipiga dongo iPhone 5c

Joeli

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2011
Posts
4,941
Reaction score
3,417
kwenye tweet yao Hii hapa nokia uk wamewapiga dongo apple kwa kuwakubali kiaina baada ya kuonekana nokia lumia zimefanana na iphone 5c...

wewe unaonaje?






 
kwenye tweet yao Hii hapa nokia uk wamewapiga dongo apple kwa kuwakubali kiaina baada ya kuonekana nokia lumia zimefanana na iphone 5c... wewe unaonaje?
hapo lazima kuna %flani ya vishawishi kutoka lumia phones vilivyosababisha Apple kutoa colored models..
 

Nimekumbuka na hii


:focus:
Hai hitaji kua na Degree ya Photoshop wala ya Designing kuona kua Tunda lime Cut and Paste toka wazee wa LM620
 
HTC nao nimewaona wamewaponda wanadai wao ndo walikuwa wa kwanza kutengeneza simu yenye finger print sensor inayotumia microsoft windows
 
HTC nao nimewaona wamewaponda wanadai wao ndo walikuwa wa kwanza kutengeneza simu yenye finger print sensor inayotumia microsoft windows

htc wameweka tangazo, rudisha iphone 5s yako upewe htc one na dola150
 
Iphone wanajua sana marketing hiyo finger print naona imekuwa big deal na inazungumziwa sana utadhani ndio wa kwanza kutengeneza simu hiyo mbona kwa htc hawakuipgia promo hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…