Nokia vs xperia

amsr

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2012
Posts
259
Reaction score
303
Nokia 701 na xperia s ipi kiboko wakuu?
 
Kiboko kwa lipi sasa?,kutunza charge ama kiboko kwa kufotoa picha..na hii michezo ya weka picha iliyko uku ndani..ngja waje watujuze yenye kamera nzuri..
 
Kiboko kwa lipi sasa?,kutunza charge ama kiboko kwa kufotoa picha..na hii michezo ya weka picha iliyko uku ndani..ngja waje watujuze yenye kamera nzuri..

namaanisha kwaujumla
 
Nenda gsmarena.com ufanye comparizon na uangalie user comments, hapa tutakudandanya tu kwa sababu hakuna mtu aliyetumia hizi simu kwa mpigo akajua ipi bora kuliko nyingine
 
Nenda gsmarena.com ufanye comparizon na uangalie user comments, hapa tutakudandanya tu kwa sababu hakuna mtu aliyetumia hizi simu kwa mpigo akajua ipi bora kuliko nyingine

kujua simu ipi bora kat ya izo c lazima uwe ume2mia zote kwa mpigo bro na hata nikienda huko gsm arena naeza nisielewe ki2 coz info nitazopata stil zitahitaj interpretation mkuu
 
Nakushauri ununue xperia s kama unataka maana hiyo Nokia inatumia Symbian OS ambayo Ni dead platform so usitegeme updates zozote wala apps za maana, kwan Nokia walisha achana nayo hiyo OS, ukitaka Nokia go for Lumia zenye windows phone 8 like (520, 620, 720, 920, 1020 etc)
 
kujua simu ipi bora kat ya izo c lazima uwe ume2mia zote kwa mpigo bro na hata nikienda huko gsm arena naeza nisielewe ki2 coz info nitazopata stil zitahitaj interpretation mkuu

Kwa wale waliowahi kutumia gsmarena kufanyia comparison au kutafuta simu zinazowafaa watakuwa wamenielewa na hata huyu mdau aliyeomba ushauri kama atakuwa kafuata ushauri niliompa vilevile atakuwa kanielewa
 
mkuuu huez ku compare nokia na experia...xperia nomah...os ya android ambyo ndo os ya town....nokia hyo ni symbian ambayo ni outdated os....hakuna apps nzur za nokia.....experia ni kiboko
 

.
Kila mtu ananunua simu kutokana na matumizi yake...
.
Ila WP that you advice the dodger
ni dissappointment kama atatumia for enterttainment....
.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…