NOKIA ORIGINAL 30,000-130,000TSHS with warranty | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

NOKIA ORIGINAL 30,000-130,000TSHS with warranty

Discussion in 'Matangazo madogo' started by rakeyescarl, Jul 20, 2011.

 1. r

  rakeyescarl JF-Expert Member

  #1
  Jul 20, 2011
  Joined: Dec 9, 2007
  Messages: 408
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  1.NOKIA 1662 -MADE IN ROMANIA/1 MONTH WARANTY/USED 6MONTH/- PRICE 30,000TSHS. WHEN NEW 75,000.TSHS

  Basic specs RADIO/NO MEMORY CARD/PHONE BOOK

  2.NOKIA X3-00 MADE IN MEXICO/1 MONTH WARRANTY/USED 6 MONTH BOUGHT IN US/-PRICE 120,000TSHS.WHEN NEW 225,000TSH
  I CAN DELIEVR ANYWHERE IN TANZANIA.
  Basic specs-USB/3.2MEGAPIXEL CAMERA/RADIO/1GB MICRO SD CARD.
  Just PM me, the deal is you have to buy both!
   
 2. Kombo

  Kombo JF-Expert Member

  #2
  Jul 20, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 1,819
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Original ndo nini Mkuu?
   
 3. Nassir93'

  Nassir93' JF-Expert Member

  #3
  Jul 20, 2011
  Joined: Jul 14, 2011
  Messages: 230
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Vp khs x6 unayo hyo ki2 ndugu?
   
 4. r

  rakeyescarl JF-Expert Member

  #4
  Jul 20, 2011
  Joined: Dec 9, 2007
  Messages: 408
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Siku, original ni kinyume na fake-sijui kama nimejieleza vizuri lakini kwa maelezo zaidi ya ingia kwenye kamusi ,ni neno la kiingereza,Asante:A S 103:.
   
 5. r

  rakeyescarl JF-Expert Member

  #5
  Jul 20, 2011
  Joined: Dec 9, 2007
  Messages: 408
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Nassir93' mimi nauza simu zangu niachane na mambo ya teknolojia yamenishinda,sio mfanya biashara wa simu,asante.
   
 6. Kombo

  Kombo JF-Expert Member

  #6
  Jul 20, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 1,819
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Maana yangu brother ni kwa kiasi gani una-guarantee kwamba hizo products ni original from Nokia (hivi zile ambazo ni underlicenced nazo huwa kundi gani vle?). Sina nia mbaya. Mimi binafsi ni mtumiaji mkubwa wa Handsets za Nokia na kwa bahati zote zimetengenezwa Finland na nimezinunua kwa Dealers wao na nilipewa warranty mwaka mmoja mmoja. Najua hizo ni Used kama sikukuelewa vibaya, inge-sound vema kama ungetukaribisha kununua Nokia Ex-Romania/Mexico ambazo naamini ni bora tu kwani zimepitishwa kwenye standards za US na Europe.
   
 7. r

  rakeyescarl JF-Expert Member

  #7
  Jul 20, 2011
  Joined: Dec 9, 2007
  Messages: 408
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  THX.
  Kwa maana hiyo kama ni mtumiaji mkubwa wa NOKIA si unajua kuna jinsi ya ku prove kama simu esp.ya NOKIA ni original au la?
  GD.
   
 8. r

  rakeyescarl JF-Expert Member

  #8
  Jul 20, 2011
  Joined: Dec 9, 2007
  Messages: 408
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  THX.<br>Kwa maana hiyo kama ni mtumiaji&nbsp; mkubwa wa NOKIA si unajua kuna jinsi ya ku prove kama simu esp.ya NOKIA ni original au la?<br>GD.<br>
   
 9. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #9
  Jul 20, 2011
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  ROmania hakuna kiwanda cha Nokia. Ulaya viwanda vya Nokia vipo Hungary na Germany. kama ni kweli zimetoka Romania basi zitakuwa ni Original- fake Nokia from Europe.
   
 10. Kombo

  Kombo JF-Expert Member

  #10
  Jul 21, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 1,819
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Najua Brother.
   
Loading...