nokia n97

nokia n97

mojoki

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
1,313
Reaction score
291
Natafuta hii simu ya mtumba,kama kuna mdau tufanye business
 
hizo cm kuwa mwangalifu kama uzijui vzuri mana mchina katoa zake azinatofauti kabisa na org yani utofautishi.

alafu hii post ilitakiwa jukwaa la matangazo
 
mzee nitakupm,nitakupa na no ya cmu,uwasiliane na jamaa.the phne iko powah na iko great condition.

zasasule I'm waiting for you bro give me some details
 
hizo cm kuwa mwangalifu kama uzijui vzuri mana mchina katoa zake azinatofauti kabisa na org yani utofautishi.

alafu hii post ilitakiwa jukwaa la matangazo

nimekusoma vyema daktari
 
moro wapi morogoro or mtaa wa moro dar tupe no ya anayeuza cm hizo tuweze kuwasiliana naye weka no zake wazi tufanye biashara
 
Back
Top Bottom