Nina nokia N95 tatizo lake ikiishiwa chaji, na ukichomeka charger haiingizi moto. Nimetumia charger tofauti ila tatizo lipo kwenywe simu. Nimepeleka kwa mafundi simu wengi wao niwababaishaji. Kwa anayejua tupeana maujuzi,
mkuu mimi si fundi ila jaribu mwenyewe kidogo nyumbani.
Toa betri hio jaribu kueka betry nyengine inachaji? Kama inachaji ina maana betry yako ya mwanzo mbovu na kama haichaji simu mbovu. Then baada ya hapo ndo utajua utasolve vp