Nokia n900

Ka2pain

Member
Joined
Apr 19, 2011
Posts
97
Reaction score
26
Habari zenu wanaJF.
nilichukua NOKIA N900, siku kadhaa zilizopita. Ila kwa sasa nikitaka kuingia ovi store au ku'update inaniletea hii message "NOKIA MESSEGING PASSWORD. This is password the first email address set up for Nokia messeging".,. yani inanitaka niweke hiyo password. Naomba msaada kwa yeyote anayeweza nisaidia hiyo password maana inaonekana kama ni universal au njia yoyote ya kutatua tatizo langu,., Natanguliza shukrani za dhati.
 
Mi nadhani ilikuwa inaaccount ambayo ilikuwa ina2mika kuingia huko thats why inakudai password. Tengeneza ovi account yako,ndo u2mie kuingia kwenye hiyo ovi store.
 
Nashukuruni kwa msaada wenu,., bado naufanyia kazi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…