Tatizo hazisupport whatsApp no fm radio. But ni miongoni mwa simu bora nilizowahi kuzitumia. Naipenda
nani kakudanganya!??
nimetumia sijasimuliwa. Redio yake ni ya kudownload. Inatumia operating system ya window. No whatsApp miaka mia labda uitoe uweke os ya android au smart phone.
nimetumia sijasimuliwa. Redio yake ni ya kudownload. Inatumia operating system ya window. No whatsApp miaka mia labda uitoe uweke os ya android au smart phone.
nimetumia sijasimuliwa. Redio yake ni ya kudownload. Inatumia operating system ya window. No whatsApp miaka mia labda uitoe uweke os ya android au smart phone.
mkuu mbona whatsap ya symbian os ipo? acha uwongo mkuu,hapa nini nokia e71 na inagonga whatsp
kwani whatsapp haipo kwenye windows?? afu unavosema atoe aweke OS ya Android au Smartphone, unajua kweli unachokiongea?? Afu toka lini ukainstall android on a windows smartphone? afu hiyo OS inayoitwa Smartphone ni ipi hiyo? as far as i know hata simu zinazotumia windows tunaziita smartphones pia.. Ukiwa unaandika kitu hakikisha unakijua vizuri kabisa kabla ya kuandikanimetumia sijasimuliwa. Redio yake ni ya kudownload. Inatumia operating system ya window. No whatsApp miaka mia labda uitoe uweke os ya android au smart phone.
kwani whatsapp haipo kwenye windows?? afu unavosema atoe aweke OS ya Android au Smartphone, unajua kweli unachokiongea?? Afu toka lini ukainstall android on a windows smartphone? afu hiyo OS inayoitwa Smartphone ni ipi hiyo? as far as i know hata simu zinazotumia windows tunaziita smartphones pia.. Ukiwa unaandika kitu hakikisha unakijua vizuri kabisa kabla ya kuandika
N9 inatumia OS ya window sio symbian wala android.
mkuu mbona whatsap ya symbian os ipo? acha uwongo mkuu,hapa nini nokia e71 na inagonga whatsp
Ndg uli2mia mchna,cmu huwez badili operating software,c pc hyo
duh!! We jamaa wewe mbona unazungumza uongo kwa kujiamini ivyo
wakuu nyie mbona mnamkosoa mwenzenu kuwa Nokia N9 haiwezekani kuweka OS ya Android?? mwenzenu yupo sahihi na nyie ndio mliokosea. Nokia N9 inakuja na Operating System ya Meego na unaweza kuInstal OS zingine kama symbian, Sailfish OS au Android OS etc..kwenye partition tofauti na ukawa na simu inayotumia OS zaidi ya moja. Nokia N9 na Nokia N950 zote zinaweza kufanya hivyo. kama vipi mmuombe msamaha!!!!!!!nani kakudanganya!??
mkuu pole kwa kukosa whatsapp. pia nadhani hiyo nokia yako inatumia Meego OS kama picha yako inavyoonyesha hapo na sio windows phone. nenda kwenye 'about phone' ili kuhakikisha. unaweza kuInstal Android OS v4.0.3 na ukaweka whastapp kama kawaida, fuatilia vizuri hii link (http://thetrickslab.com/2013/04/how-to-install-android-ics-4-0-3-on-nokia-n9.html). ila kama umeamua kuuza no problem..Nauza Nokia N9 ina specs zifuatazo:
Network 2G,3G,Mini-SIM,Wifi,Wifi Hotspot
Display 3.9' Super Amoled Screen
Internal Memory 16GB,RAM 1GB
Camera 8MP
CPU 1 GHz Cortex A8
Iko poa kabisa.
Bei 240000
call 0752385949
View attachment 159479