Nokia n8 kwa 450,000/= ni orijino ilinunuliwa finland

Vp bingwa mbona kimya sasa?

hapana mkuu,fanya kuongeza kidogo,350,000 nikuachie chombo,nimemcheki jamaa naona cm yake haipatikan kabisa,ngoja nicheki utaratibu mwingne
 
daaah naitamani kweli hio kitu, ila january ngumu mbyaaaa, watoto shule nk, anyway ngoja nipige ufisadi somewhere ukienda poa tutashtuana.
 
daaah naitamani kweli hio kitu, ila january ngumu mbyaaaa, watoto shule nk, anyway ngoja nipige ufisadi somewhere ukienda poa tutashtuana.

Hamna mbaya mkuu! Unakaribishwa sana!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom