Nokia lumia inauzwa kwa bei ya 250 tu.

Nokia lumia inauzwa kwa bei ya 250 tu.

mabumbe

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2010
Posts
298
Reaction score
40
Ni nokia lumia 620. Ni pm tufunge biashara iko ktk hali nzuri.
 
250 Nilivyoelewa mimi ni laki mbili na nusu. Au sio. Ngoja tutafute mteja tutaku-PM
 
ogopa sana hizo lumia hasa used, zikishaanza kusumbua matengenezo yanazidi bei ulonunulia au isitengenezeke kabisa!! nadhani ndo sababu unauza kwa bei ya kutupa.
 
ogopa sana hizo lumia hasa used, zikishaanza kusumbua matengenezo yanazidi bei ulonunulia au isitengenezeke kabisa!! nadhani ndo sababu unauza kwa bei ya kutupa.
ww dogo ni muongo hujawahi hata kuiona wala kuitmia nahisi... Zpo lakn siyo hizi 620 ningekuwa na hela ningenunua!!
 
ww dogo ni muongo hujawahi hata kuiona wala kuitmia nahisi... Zpo lakn siyo hizi 620 ningekuwa na hela ningenunua!!

hujawahi tumia halafu unasema uongo,umetumia kigezo gani kuniprove wrong? halafu ungejua umri wangu usingethubutu kuniita dogo! by the way acha kupenda vya dezodezo bora ukachukue mpya dukani.
 
Kama hizo Lumia 620 bado zipo, inbox me ASAP.
 
Kama hizo Lumia 620 bado zipo, inbox me ASAP.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom