Dah!..mkuu iyo pesa ni nyingi ila inatakiwa 400 mwisho,yani iyo kitu ipo vizuri inapiga kazi hatari kwenye internet inatumia 4G-network ambayo ni nzuri zaidi ukitumia chip ya airtel,camera yake inatoa clear images kama inavyojulikana LUMIA ni best camera-smartphone ikifuatiwa na Sony,na mda sio mrefu Microsoft wataroll out Windows phone 10 hivyo inafaa kuaupgrade from windows 8.1 to 10.