Michael Amon
JF-Expert Member
- Dec 22, 2008
- 8,769
- 3,649
Good News.Mkuu@Mr Young_Master
Bado kaachwa sana
feature ya wireless charging nimeipenda sana....
japo kuweka 8mp wakati wengine wanafikiria kuongeza kutoka 8mp kwenda mbele
mbaya zaidi tayari pure view ina 41mp....i wish wangeweka 41mp kwenye hizi cm
Ingeuzwa milion 2 kaka maana nokia 701 na 808 karibia zifanane ila 701 ni dola 270 na 808 ni dola 600 hio 330 gape ni kwa ajili ya camera.
haya bei hio hapo 758usd au 600 euro au 476 gb pounds. Nchi ya kwanza kuipata itakua germany. Then simu itaanza kuuzwa mid october.
Wili mbili badae ndugu yake lumia 820 atafata kwa bei za 450 euro 568 usd na pound 357.
Ikitoka ujerumani late october watasambaza nchi karibia zote za ulaya
Nokia wameeka bei hio sababu sg3 inauzwa Usd 800. According na hio source itatoka lumia isio na 4g wala lte ambayo bei itashuka kidogo.
Source hapa
European Nokia Lumia 920 priced and dated | WMPoweruser
feature ya wireless charging nimeipenda sana....
japo kuweka 8mp wakati wengine wanafikiria kuongeza kutoka 8mp kwenda mbele
mbaya zaidi tayari pure view ina 41mp....i wish wangeweka 41mp kwenye hizi cm
758us$ nikama 1.2Mil ya bongo,mpaka nikusanye mishahara 6 ndo m
ninunue hiyo kitu Daaa!!
Nokia anakuja tena, swali je, ataweza rudisha ile misifa + bei nafuu?
758us$ nikama 1.2Mil ya bongo,mpaka nikusanye mishahara 6 ndo m
ninunue hiyo kitu Daaa!!
Yaan ipo hv! Hzo 8 mp ni za technologia ya pureview so uki compare 8mp ya nokia na 12 mp ya galaxy bado nokia yupo juu
Ujue huyu elop anaiua nokia why utengeneze simu kwa ajili ya wamarekani? Au kisa yeye ni mwajiriwa wa zamani wa microsoft?
Juzi kulikua na matokeo ya nchi na simu wanazomiliki mfano kama brazili asilimia 70% wanamiliki symbian ikifuatwa na android 20%
Nchi kama china wamezindua juzi tu na washauza zaidi ya milion 2 za wp. Huko finland ndo usiseme kila mtu nokia sasa sjui ukichaa gan unawatuma na masimu ambayo ni expensive kutengeneza then unawafaidisha wateja laki 6 unaacha milion 50