Ni original at&t, lightly used, factory unlocked ..Nokia ina otterbox na ilikuwa kwenye otterbox, no scratches ...you find a scratch, I take 25,000/- off.Hizo no bei nzuri sana kama ni original ni mpya?????
Hizo Sony Ericsson ziko model nyingi kaka ,je hiyo yako ni model gani?maake black naona ni rangi tu na si model,samahani kwa kunisumbua kukuliza ungetaja model nisingekuulizaZote 16G...
Sony ericsson black, iPHONE4 White na Nokia lumia 900 black.
Bei laki 3.5, laki 5 na laki 5.
PM
ha.....ahaaaaaaaaa.....huyo siyo mnunuzi kabisa......!!!!!Jiwe mbili ni sawa na sadaka siyo biashara. Na mimi sipo kwenye mambo ya kanisa kwahiyo chukua time huna mpango.