Nokia lumia 820

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
122,521
Reaction score
96,267
Wana jamvi naomba ushauri,vipi cm hii inafaa kwa mitandao kama jf??pia naomba kunijuza kama ni Bora kwa matumizi ya kisasa
 
Ni simu nzuri ila ni bora kama ukachukua Lumia 720.
 
Tofauti iko wapi mkuu??? 820 na 720???
Ipi iko juu???

ukitoa hizi mpya za lumia 1520 na 1320 ambazo zitaanza kuuzwa karibuni lumia 820 ndio fastest phone.

kwenye benchmark zote inaongoza yeye ikiwaacha kwa karibu lumia 920 na variety zake pamoja na htc8x.

pia lumia 820 ipo compatible na 3d printer na macover yake ni rahisi kutoka. moto x watu wanasema ni customizable macover yake ila ni chamtoto sana kwa lumia 820. hebu ona hizi sample

hio ni pokemon

na hii wameprint kishule shule




hio rula na cover vyote vimeorintiwa na 3d printer.

pia lumia 820 ina ram 1gb.

kwa upande mwengine lumia 720 ina ram ya 512mb na kioo kizuri kuliko lumia 820 pamoja na camera nzuri ba front camera inayochukua eneo pana na uwezo hata wa kupiga watu wanne kwa mpigo.

lumia 720 ina betry ya ukweli 2000mah na pia design yake nzuri kuliko 820.

ipi bora?
kama unapenda games na simu na apps kubwa kubwa unapenda kuchange macover na kuchezea chezea simu lumia 820 ni bora.

wale wa kuchat chat mambo ya fb na whatsapp 720 inawafaaa zaidi.
 
Chief Mkwawa,nashukuru sana kwa ushauri mzuri,ila naomba unijulishe kama naweza ni ka download jf,,kama ninavyo Fanya hivyo toka cm za Android?
 
Chief Mkwawa,nashukuru sana kwa ushauri mzuri,ila naomba unijulishe kama naweza ni ka download jf,,kama ninavyo Fanya hivyo toka cm za Android?

Hiyo App bado haijafika kwa Windows Phone.
 
Nokia Lumia 820. katika pita pita yangu hasa Youtube kucheki review ya simu nimegundua ni simu nzuri sana! Tatizo ni moja tu linaloikabili.. Unajua Platform ya Windows Phone haijawa na applications nyingi tofauti na Android na IOS. hilo tu ndo tatizo zaidi ya hapo ni simu nzuri sana.
 
Samahani kuna ukweli kwamba Lumia phone hazikubali social network kama instagram?
 
Samahani kuna ukweli kwamba Lumia phone hazikubali social network kama instagram?

hakuna official app ya instagram ila kuna app ambayo inetengenezwa na rud hyun inaitwa 6tag ni balaa. unafanya mambo yote ya instagram.

pia official app ya instagram haina hata mwezi itatoka tayari ceo wa nokia ameshaconfirm ipo njian.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…