kwa iyo elfu kumi haina thamani???nokia E72 inauzwa bei poa..bei tsh 100,000 tu..kila kitu kipo vizur sana kuanzia betri na vingenevyo..camera ni ya kurekebishwa kidogo..but ukiongeza elfu 10 utarekebishiwa bure.
Wahi sasa ufaidike na offer hii..
If insterested please sms 0719315637