NOKIA E72 inauzwa

katuni

Senior Member
Joined
Dec 8, 2012
Posts
151
Reaction score
77


simu inapiga kazi kama kawida.
Camera 5MP
internet speed 3.5G
ina uwezo wa kufungua file za PDF
( Facebook applications, Nimbuz, Viber na Whatsapp zipo na zinafanya kazi bila shida)
inaplay video youtube.

NOTE: kuchaji inabidi uchaji kwa kupitia tundu la USB ( charger ya Samsung maana kwa pini ndogo inakataa kuchaji ) lakini pia waweza kwenda kubadili Housing kama utapenda maana nahisi hii housing yake siyo original ila sina uhakika. Vinginevyo simu ni orijinal kabisa na haina shida nyingine.

SABABU YA KUUZA.

Nataka niongeze pesa nikanunue NOKIA C7-00

nipo Dar, nicheki hapa 0715553166 Bei ni 50,000
 

Anicheki hapa 0787577755 tufanye biashara.
 
Niko interested call me 0713228915


Sent from my iPhone using JamiiForums app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…