Nokia e72 inauzwa

Toa tangazo lako hapa km unashindwa kuweka tangazo lako uliza usaidiwe,mpyuuuu

Mkuu povu la nini sasa? Kwani mi nikiweka hapo la kwangu ndo linafuta lako? Acha hizo.....dumbnut.
 
sijawaelewa golani anasema simu ipo nyumbani,mzee naye anajiwekea picha kwani uliambiwa kuna mtu asiyejua e 72 ilivyo? nataka kujua ilivyo kwani muuzaji amesema ni used


Mi siijui.
 
Nauza e71 elfu50 tu nimekwama nauli nipo dodoma naelekea mara jkt!
Sharti inabidi uifate nilipo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom