Wisdom youlth
Member
- Sep 14, 2011
- 73
- 17
Ni asha 303,,,
mkuu haina maana dogo ndo awe na kitu kibaya we uwe na kizuri cha muhimu angalia matumizi yako. kama ni net na kupiga simu tu asha 303 sio mbaya, e71 ina mambo mengi na nzuri kwa mtu anaeanza kujifunza mambo ya smartphone.