Sir_Finus JF-Expert Member Joined Mar 31, 2011 Posts 330 Reaction score 139 Jul 8, 2017 #1 Hi wadau.. Natafuta simu hizo nilizozitaja mwenye kuwa nazo naomba anipm
ommky JF-Expert Member Joined Jul 30, 2016 Posts 459 Reaction score 225 Jul 8, 2017 #2 nenda kwa benson arusha
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,262 Reaction score 44,377 Jul 8, 2017 #3 una hela? au unatafuta bei reasonable? kuna mhindi anauza hizo symbian za zamani ila bei zake ni pasua kichwa, cheki kupatana utaziona huwa anaeka matangazo yake.
una hela? au unatafuta bei reasonable? kuna mhindi anauza hizo symbian za zamani ila bei zake ni pasua kichwa, cheki kupatana utaziona huwa anaeka matangazo yake.