Heshima kwenu wakuu!
Ninavutiwa sana kutumia Bluetoothheadphone kwenye simu yangu ya Nokia E5.
Lakini nimejaribu kuunga nimeshindwa kwa yeyote mwenye ujuzi na hii smu anisaidie.
Nilishawahi kutumia Nokia X3-00 haikunipa tabu kuunganisha kama hii E5.
Natanguliza shukurani kwenu!