LOOOK JF-Expert Member Joined May 17, 2011 Posts 3,468 Reaction score 818 Apr 12, 2012 #1 Mada hapo juu
kalendi JF-Expert Member Joined Mar 17, 2012 Posts 1,354 Reaction score 572 Apr 12, 2012 #2 Hebu fafanua vizuri mbona hueleweki. Kuhusu Nokia E5
LOOOK JF-Expert Member Joined May 17, 2011 Posts 3,468 Reaction score 818 Apr 13, 2012 Thread starter #3 Yaani inahitajika kwa mwenye nayo aniuzie iwe nzima bado na iwe haina software failure yeyote ile
kalendi JF-Expert Member Joined Mar 17, 2012 Posts 1,354 Reaction score 572 Apr 14, 2012 #4 LOOOK said: Yaani inahitajika kwa mwenye nayo aniuzie iwe nzima bado na iwe haina software failure yeyote ile Click to expand... Mimi nipo maeneo ya Kibaigwa-Dodoma. Ninayo hiyo E5 nimeinunua mwezi wa febr. Kama utakuwa bado hujapata nitaarifu
LOOOK said: Yaani inahitajika kwa mwenye nayo aniuzie iwe nzima bado na iwe haina software failure yeyote ile Click to expand... Mimi nipo maeneo ya Kibaigwa-Dodoma. Ninayo hiyo E5 nimeinunua mwezi wa febr. Kama utakuwa bado hujapata nitaarifu
RGforever JF-Expert Member Joined Apr 3, 2011 Posts 6,877 Reaction score 5,446 Apr 14, 2012 #5 kalendi said: Mimi nipo maeneo ya Kibaigwa-Dodoma. Ninayo hiyo E5 nimeinunua mwezi wa febr. Kama utakuwa bado hujapata nitaarifu Click to expand... Unauzaje Mkuu.
kalendi said: Mimi nipo maeneo ya Kibaigwa-Dodoma. Ninayo hiyo E5 nimeinunua mwezi wa febr. Kama utakuwa bado hujapata nitaarifu Click to expand... Unauzaje Mkuu.
ofisa JF-Expert Member Joined May 15, 2011 Posts 4,361 Reaction score 4,102 Apr 14, 2012 #6 LOOOK said: Mada hapo juu Click to expand... ninayo naipenda what is so special ili nivienjoy nayo nna whatsap ,m chat ,opera,fb,na theme kibao nifute ila tukubaliane tsh 320000
LOOOK said: Mada hapo juu Click to expand... ninayo naipenda what is so special ili nivienjoy nayo nna whatsap ,m chat ,opera,fb,na theme kibao nifute ila tukubaliane tsh 320000
LOOOK JF-Expert Member Joined May 17, 2011 Posts 3,468 Reaction score 818 Apr 16, 2012 Thread starter #7 Nshapta wakuu nsha uziwa na mdau humu.