Nokia E-72 @ 220,000

chkua laki fasta ukaweke heshima bar
 
Nashukuru sana waungwana acha nibaki nayo ntampa hata mtu zawadi.
 
Hyo bei c ya android kabisa....lete 120 mi nikupe e72 zmejaa huku kwetu......cm yko ilikua nzut kipnd kile..ila nw haina ushindani ndo mana imeporomoka bei mkuu
 
Ila jaman sio kosa lake may be alinunua m city maana pale e72 375..!!
Bro hzo n laki nw zinauzwa kwa sisi wazee wa aggrey kkoo
 
mwenye e72 used ila ipo powa anitafute,bei isizidi laki.0659626782
 
Ok wakuu,kwa bei nilinunua siwezi uza chini ya 150,000
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…