Nokia C3

Mkuu malizia uhondo basi. Ukishadownload what next? Nna kanyumba kangu kadogo kanatumia hiyo simu nataka nikatafutie sababu.

Utamu wa small hausi ushakukinahi? Au gharama zimezidi mapato?
 
Saa nyingine mwanaume kuwa kama mwanaume ndani kwako....

Tena rudi ule muda wake wa kuchat.......

Mpokonye simu,we si ndo baba na kichwa cha familia?????

Kaana nayo hadi uridhike

Ukimuomba simu kilege lege kwa udhaifu atadelete ndo akupe....
 
Mbona we yako umeniwekea security code?
 
ndugu ni hivi kuna mawili either ni yuko busy whatsapp or na texts zingine chamsingi fatilia namba ya simu anayowasiliana nayo halafu ukishajua iscreen hiyo namba msg ztakua znaingia sema hazioni na calls pia hatozi sikia so baada ya simu kadhaa chukua simu hiyo..cheki messages hizo uone..jamaa anachokituma..
 
Mkuu tumia ile sheria namba 5 ya wanaume yaani ukitoka sehemu ukamkuta anachat muombe cm kwa nguvu kaa nayo wewe wakati mwingine unatakiwa uwe mwanaume na sio wa kiume utakuja kukuta manyoya vidume havitanii kabisa tena vikijua mke wa mtu ni balaa.
 
Utamnasa tuu

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Mmmh kazi kweli kweli labda nianze kwa kukuuuliza swali je wewe ni mwaminifu kwenye ndoa yako. Kama kweli wewe huna mipango ya kando basi nakushauri umuulize na umwambie wasiwasi wako juu ya hizo chatting zake. Ufanyapo hivyo na wewe umkabidhi simu yako aichunguze. Kama unaona hautakua radhi cm yako kuchunguzwa basi mwache endelea na maisha kama kawaida kwani muosha huoshwa.
 

mkuu hembu dadavua inaiscreen vip maana sie wengine tanajua kupokea cm na kupiga niweke swa mkuu mniokoe familia yangu
 

sawa ila kuwa nawe uyaone
 
moyo upi tena miss we nipe njia maana nitakuja tena humu kuomba ushauri wa kuacha

Hyo njia unayotaka kuichukua sion kama inafaa kaka.
Labda kama unataka uthibitisho ili uvunje ndoa pale utakapobaini
 

Kweli badili tabia.
 
Hyo njia unayotaka kuichukua sion kama inafaa kaka.
Labda kama unataka uthibitisho ili uvunje ndoa pale utakapobaini

miss ushaambiwa sony wega namaana sitaki chenga nataka kiti live sasa nipeni maujanja jamani vip jamvi leo au ndo mko baze na final leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…