H halimbaya Member Joined Oct 10, 2011 Posts 63 Reaction score 15 Oct 11, 2013 #1 Habari za kazi ndugu zangu.Nina Nokia Asha 300 lakini tatizo lake ni kwamba touch screen is not responding na nashindwa kuswipe ili niunlock.Hivyo nashindwa kuitumia simu. Naomba msaada kwa wataalam kwenye hili tatizo. Natanguliza shukrani!
Habari za kazi ndugu zangu.Nina Nokia Asha 300 lakini tatizo lake ni kwamba touch screen is not responding na nashindwa kuswipe ili niunlock.Hivyo nashindwa kuitumia simu. Naomba msaada kwa wataalam kwenye hili tatizo. Natanguliza shukrani!